Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

FRIDGE HISENSE RD16 SILVER

Oct 17th, 2023 at 16:02   Furniture & Appliances   Ilala   220 views Reference: 325

Location: Ilala

Price: TSh670,000 Negotiable


Warranty ni miaka miwili

Usafiri ni bure mpaka nyumbani kwako kwa mkazi wa dar es salaam

Malipo unalipa baada ya kupata mzigo wako kwa mkazi wa dar es salaam

Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana au kama una ndgu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukan kwetu kwa uaminifu mkubwa sana

Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na aggrey karibu na jengo la china plaza

Additional Details

Appliances Brand
Hisense
Appliances Type
Refrigerator
Condition
New