ACID REFLUX ( KIUNGULIA )NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE
Sep 16th, 2025 at 07:44 Beauty & Well being Arusha City 191 views Reference: 622Location: Arusha City
Price: TSh25,000 Negotiable
ACID REFLUX (KIUNGULIA) NI NINI?
Ni hali ambapo asidi ya tumbo inapanda juu hadi kwenye umio (esophagus). Hii husababisha maumivu ya kifua (yanayofanana na ya moyo), hisia ya kuchoma tumboni au koo, na ladha chungu mdomoni.
️ DALILI ZA ACID REFLUX
Hisia ya kuungua au kuchoma kifuani (hasa baada ya kula)
Kugugumia chakula au asidi kurudi mdomoni
Kukohoa bila sababu ya mafua
Kuhisi chungu kooni au mdomoni
Kupumua kwa shida usiku (kama asidi inafika juu)
SABABU KUU
Kula kupita kiasi
Kula vyakula vyenye mafuta mengi, viungo kali, au vyakula vyenye asidi (kama nyanya, limao)
Uzito kupita kiasi (obesity)
Uvutaji sigara
Kulala mara baada ya kula chakula
Magonjwa ya tumbo, au kupungua kwa valve ya umio
TIBA ZA ASILI / MBOBADALA
Hizi ni njia salama kusaidia kupunguza kiungulia:
1. Maziwa ya mgando au mtindi – kupoza asidi
2. Ndizi – hulainisha tumbo
3. Asali na maji ya uvuguvugu – husaidia kutuliza njia ya umio
4. Tangawizi (ginger) – hupunguza gesi na maumivu ya tumbo
5. Kula chakula kidogo kidogo mara nyingi badala ya milo mikubwa
6. Epuka kulala mara baada ya kula – subiri angalau masaa 2-3
VYAKULA VYA KUEPUKA
1. Vyakula vya kukaanga na vyenye mafuta mengi
2. Chokoleti
3. Kahawa
4. Soda na pombe
5. Chumvi nyingi
6. Vyakula vilivyolala
7. Vyakula vyenye acid viliwe kwa kiasi kidogo sana kama maharage , dagaa, limao nk
8. Epuka vitu vichachu pia
TIBA ZA KISAYANSI
Dawa za kupunguza asidi (antacids, PPIs)
Uchunguzi wa endoscopy (ikiwa hali ni ya muda mrefu au kali)
UNAHITAJI TIBA ASILIA NA USHAURI?
Neema Afya Bora inatoa tiba ya mimea isiyo na madhara kwa kiungulia na matatizo ya tumbo:
Piga sasa: