Women Belts
2025-12-11 11:01 Fashion Arusha 19 maoni Rejea: 692TSh3,000
Mahali: Arusha
Bei: TSh3,000 Inaweza kujadiliwa
Habari wapendwa wateja natumai mko poa sana na Mungu mwema.
Jamani nawakaribisha katika duka langu la fashion ya mikanda ya wanawake. Karibuni sana mjionee bidhaa kwa bei nafuu sana, ya jumla na reja reja. Ipo mikanda mipana ya shilingi tsh 6,000, tsh,3,000 na tsh2000. Kwa bei ya jumla ni kwa mikanda ya 2000 ambapo bei ya jumla ni tsh 1300 kwa ile mikanda ya 2000 zisipungue pc 50. Na ile ya tsh 3,000 jumla ni 2300 zisipungue 50 pcs
Namba za mawasiliano ni +255792221335