Women Belts, Arusha
Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

Women Belts

Dec 11th, 2025 at 11:13   Fashion   Arusha   10 views Reference: 694

Location: Arusha

Price: TSh3,000 Negotiable


Habari wapendwa wateja natumai mko poa sana na Mungu mwema.

Jamani nawakaribisha katika duka langu la fashion ya mikanda ya wanawake. Karibuni sana mjionee bidhaa kwa bei nafuu sana, ya jumla na reja reja. Ipo mikanda mipana ya shilingi tsh 6,000,  tsh,3,000 na tsh2000. Kwa bei ya jumla ni kwa mikanda ya 2000 ambapo bei ya  jumla ni tsh 1300 kwa ile mikanda ya 2000 zisipungue pc 50. Na ile ya tsh 3,000 jumla ni 2300 zisipungue 50 pcs

 Namba za mawasiliano ni +255792221335