HISENSE WASHING MACHINE KG 14
Oct 17th, 2023 at 13:40 Furniture & Appliances Ilala 184 views Reference: 319TSh780,000
Location: Ilala
Price: TSh780,000 Negotiable
Hisense washing machine
Warranty ni mwaka mmoja
Usafiri ni bure mpaka nyumbani kwako kwa mkazi wa dar es salaam
Malipo unalipa baada ya kupata mzigo wako kwa mkazi wa dar es salaam
Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana au kama una ndgu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukani kwetu kwa uaminifu mkubwa zaidi
Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na aggrey karibu na jengo la china plaza
Inafua, inasuuza
Additional Details
Appliances Brand
Hisense
Appliances Type
Washing Machine
Condition
New