Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

HISENSE FREEZER H320CF

Oct 17th, 2023 at 13:09   Furniture & Appliances   Ilala   140 views Reference: 315

Location: Ilala

Price: TSh850,000 Negotiable


Warranty ni miaka miwili

Ujazo wake ni liter 320

Usafiri ni bure mpaka nyumbani kwako kwa mkazi wa dar es salaam

Malipo unalipa baada ya kupata mzigo wako kwa mkazi wa dar es salaam

Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana au kama una ndgu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukan kwetu kwa uaminifu mkubwa zaidi

Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na aggrey karibu na jengo la china plaza

Additional Details

Appliances Brand
Hisense
Appliances Type
Freezers
Condition
New