VIWANJA MOROGORO
Apr 22nd, 2023 at 06:29 Real estate Morogoro City 868 views Reference: 123Location: Morogoro City
Price: Contact us Negotiable
MIRADI YA VIWANJA
1- KIEGEA B
UMBALI
-10km kutoka Dodoma road(Mkundi shell)
-7Km toka DSM ROAD (Kingolwira)
-3km toka Star City
MATUMIZI
-Kuna viwanja vya makazi/Biashara
-Kuna viwanja kwa ajili ya Hotel, Makazi mkupuo(Housing Estate),Viwanda vidogo(Service Industry),
-Kuna viwanja kwa ajili ya taasisi pamoja na maeneo ya ibada (makanisa)
*Bei*
-Tsh 3,000/= SQM viwanja vya makazi
-Tsh 10,000/= Sqm Viwanja vya viwanda vidogo pamoja na Hotel
-kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:30. Ni sawa na
Tsh 1,800,000/= (1.8M)
2-KIPERA
5Km toka DSM ROAD
*Bei*
Tsh 3,500/= SQM
-kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:30. Ni sawa na
Tsh 2,100,000/= (2.2M)
3- SANGASANGA
-Ni karibu na Njia panda ya Mzumbe.
-8km toka Iringa road
Bei
-Tsh 3,000/= SQM
-kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:25
Ni sawa na
Tsh 1,500,000/=
4- WAMI SOKOINE
-25km toka Morogoro Mjini
-3 Km toka Dodoma Road
Bei
-Tsh 3,000/= SQM
- Kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:25Ni sawa na
Tsh 1,500,000/= (1.5 M)
*TARATIBU ZA MALIPO*
-Malipo ya awali (Paydown)ni 20%
-Miezi 6 inayofuata(Installment), 13%
Mawasiliano: 0753 951 492 | 0717 602 666 | +255 65 324 9952