FREEZER HISENSE H125CF
Oct 17th, 2023 at 13:17 Furniture & Appliances Ilala 200 views Reference: 317TSh495,000
Location: Ilala
Price: TSh495,000 Negotiable
Chest freezer hisense
Ujazo wake ni liter 125
Usafiri ni bure mpaka nyumbani kwako kwa mkazi wa dar es salaam
Malipo unalipa baada ya kupata mzigo wako kwa mkazi wa dar es salaam
Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana au kama una ndgu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukan kwetu ili ajiridhishe kwa uaminifu mkubwa zaidi
Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na aggrey karibu na jengo la china plaza
Additional Details
Appliances Brand
Hisense
Appliances Type
Freezers
Condition
New