UJUE UGONJWA WA OVARIAN CYST NA TIBA BILA UPASUAJI, Arusha City
Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

UJUE UGONJWA WA OVARIAN CYST NA TIBA BILA UPASUAJI

Aug 24th, 2025 at 07:46   Beauty & Well being   Arusha City   198 views Reference: 587

Location: Arusha City

Price: TSh285,000 Negotiable


 **JE, UNAPITIA CHANGAMOTO YA UVIMBE MAJI (OVARIAN CYST)?**  

 

**Tuna suluhisho salama bila upasuaji!**

 

Ovari ni viungo muhimu vya uzazi kwa mwanamke. Huzalisha mayai na homoni za kike kama **estrojeni** na **progesterone**, ambazo hudhibiti mzunguko wa hedhi na ujauzito. Lakini wakati mwingine, ovari huweza kuathirika na uvimbe maji unaojulikana kama **Ovarian Cyst**.

 

**DALILI ZAKE NI:**

 

- Maumivu wakati wa hedhi au tendo la ndoa

  

- Tumbo kujaa au kuvimba 

 

- Kichefuchefu  

 

- Damu isiyo ya kawaida wakati wa hedhi  

 

- Kushindwa kumaliza kutoa mkojo 

 

- Maumivu ya tumbo, nyonga au mapaja  

 

**SABABU ZAKE NI PAMOJA NA:**

 

- Kuwa mjamzito  

 

- Kuvuta sigara au unywaji pombe  

 

- Kuvurugika kwa homoni 

 

- Umri mkubwa  

 

- Ugonjwa wa Endometriosis  

 

**AINA ZA VIMBE MAJI:**

1. **Functional Cyst:** Hutokea kawaida na mara nyingi haitoi dalili.  

 

2. **Follicular Cyst:** Yai linaposhindwa kutoka wakati wa ovulation.  

 

3. **Corpus Luteum Cyst:** Hujitokeza baada ya yai kutolewa.  

 

4. **Hemorrhagic Cyst:** Uvimbe unaosababishwa na kuvuja damu ndani ya cyst.  

 

**SULUHISHO:**

  

Tuna bidhaa bora zinazosaidia kutibu chanzo cha tatizo **kulingana na ukubwa na muda wa uvimbe**, bila hitaji la upasuaji.

 

**Wasiliana nasi kwa ushauri na huduma:**  

**Dr. Nicky - 0765 163 943**

Additional Details

Vitamins & Supplements Brand
21St Century
Vitamins & Supplements Type
Menstrual & PMS Support Supplements
Active Ingredients
Vitamins
Vitamins & Supplements Formulation
Capsule
Gender
Women's
Age Group
All
Vitamins & Supplements Features:
All Natural
When To Take
After Meal
Package
Bottle