Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

Dyining table

Oct 17th, 2023 at 12:31   Furniture & Appliances   Ilala   216 views Reference: 311

Location: Ilala

Price: TSh680,000 Negotiable


Karibuni kwa ayo electronics kujipatia bidhaa bora na imara za ndani kama dyining table viti sita

 

Usafiri ni bure mpaka nyumbani kwako kwa mkazi wa dar es salaam

Malipo unalipa baada ya kupata mzigo wako kwa mkazi wa dar es salaam

Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana au kama una ndgu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukan kwetu pia kwa uaminifu mkubwa zaidi

Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na aggrey karibu na jengo la china plaza

Additional Details

Furniture Brand
Other
Furniture Type
Other
Room
Dining Room
Color
Black