Gardener Engineering
Mar 14th, 2025 at 10:10 Services Chamwino 72 views Reference: 525Contact us
Location: Chamwino
Price: Contact us Negotiable
Karibu katika Arstar gardener Engineering kampuni bora inayojivunia katika huduma za kipekee katika usimamizi wa bustani na uaminifu wa mandhari ya mazingira kwa kutumia utaalamu wa kisasa wa uhandisi ili kuunda maeneo ya kijamii yanayo vutia na yanayofaa kwa matmizi ya kila siku tunatoa huduma kubuni bustani ukarabati wa mandhari na uwekezaji wa mifumo ya umwagiliaji ,pamoja na usimamizi wa mazingira :
Additional Details
Company Name
Gardener Engineering
Minimum Experience
2 years